Sauti ya Jogoo

Sauti ya Jogoo

Sauti ya Jogoo

Sauti ya Jogoo

Paperback

$9.99 
  • SHIP THIS ITEM
    Qualifies for Free Shipping
  • PICK UP IN STORE
    Check Availability at Nearby Stores

Related collections and offers


Overview

Sauti ya Jogoo. Jifunze sauti ya jogoo na maisha ya wanyama wa nyumbani. Jifunze kuhusu sauti zao, chakula chao, mahali wanapoishi na pia nani ni mlafi kupita wengine. Hadithi imepambwa kwa michoro yenye rangi za kuvutia ya aina ya Tingatinga ili watoto wafurahie wakati wanajifunza.

Product Details

ISBN-13: 9781725986886
Publisher: CreateSpace Publishing
Publication date: 07/16/2018
Pages: 26
Product dimensions: 8.50(w) x 8.50(h) x 0.07(d)
Language: Swahili

About the Author

Corona Cermak amezaliwa nchini Tanzania. Ana Shahada (Digrii) ya Sheria kutoka Chuo Kikuu cha London. Kwa sasa, anaishi Brno, Jamuhuri ya Czech na mume wake na watoto wao wawili. Corona ni mwalimu wa Chekechea, shule ambayo inafuata mfumo wa ufundishaji unaomshirikisha mtoto katika mchakato mzima wa kujifunza (Reggio Emilia.) Pia ni mpenzi wa kuandika, kusimulia na kutayarisha hadithi za watoto.
From the B&N Reads Blog

Customer Reviews