Je, Umezaliwa upya kweli kwa Maji na kwa Roho? [Toleo Jipya Lililorekebishwa]

Je, Umezaliwa upya kweli kwa Maji na kwa Roho? [Toleo Jipya Lililorekebishwa]

by Paul C. Jong
Je, Umezaliwa upya kweli kwa Maji na kwa Roho? [Toleo Jipya Lililorekebishwa]

Je, Umezaliwa upya kweli kwa Maji na kwa Roho? [Toleo Jipya Lililorekebishwa]

by Paul C. Jong

eBook

$3.00 

Available on Compatible NOOK devices, the free NOOK App and in My Digital Library.
WANT A NOOK?  Explore Now

Related collections and offers

LEND ME® See Details

Overview

Somo kuu la kichwa hiki ni "kuzaliwa tena upya kwa Maji na Roho." Kichwa hiki kikuu kinatokana na asili ya somo hili. Kwa maneno mengine, kitabu hiki kinatueleza kwa ufasaha juu ya kuzaliwa tena upya na jinsi ya kuzaliwa tena upya kwa maji na Roho kwa mujibu wa Bibilia. Maji yanaashiria ubatizo wa Yesu katika Mto Yordani na Biblia inaeleza kuwa dhambi zetu zote zilipitishwa kwenda kwa Yesu wakati alipobatizwa na Yohana Mbatizaji. Yohana Mbatizaji alikuwa ni mwakilishi wa wanadamu wote na wa uzao wa Kuhani Mkuu Haruni. Kuhani Mkuu Haruni aliiweka mikono yake juu ya kichwa cha mbuzi wa kutubia makosa na kisha akazipitisha dhambi zote za mwaka mzima za Waisraeli katika huyo mbuzi wa kutubia makosa katika ile Siku ya Upatanisho. Tendo hilo ni kivuli cha mambo mazuri yajayo. Ubatizo wa Yesu ni mfano wa kuwekewa mikono. Yesu alibatizwa kwa njia ya kuwekewa mikono katika Mto Yordani. Hivyo Yesu alizichukulia mbali dhambi zote za ulimwengu kupitia ubatizo wake na alisulubiwa ili kulipa deni la dhambi hizo. Lakini Wakristo wengi hawajui ni kwa nini Yesu alibatizwa na Yohana Mbatizaji katika Mto Yordani. Ubatizo wa Yesu ni neno kuu katika kitabu hiki, na ni sehemu ya lazima katika Injili ya Maji na Roho. Tunaweza kuzaliwa tena upya ikiwa tu tutauamini ubatizo wa Yesu na Msalaba wake.


Product Details

BN ID: 2940167703681
Publisher: Paul C. Jong
Publication date: 04/21/2024
Sold by: Smashwords
Format: eBook
File size: 765 KB
Language: Swahili
From the B&N Reads Blog

Customer Reviews