Pesa Zako Zinanuka

Pesa Zako Zinanuka

by R. Mtobwa
Pesa Zako Zinanuka

Pesa Zako Zinanuka

by R. Mtobwa

eBook

$12.49  $16.00 Save 22% Current price is $12.49, Original price is $16. You Save 22%.

Available on Compatible NOOK devices, the free NOOK App and in My Digital Library.
WANT A NOOK?  Explore Now

Related collections and offers


Overview

Mwandishi mmoja mashuhuri hapa duniani aliwahi kuandika katika kitabu chake, No Money Smells , kwamba hakuna pesa zinazonuka. Lakini mwandishi wa riwaya hii anadai zipo, na zanuka . Ni pesa zipi hizi? Na vipi zinuke? Hii ni riwaya nzito ya kihistoria. Mwandishi anaivulia jamii miwani na kuitazama kwa makini bila uoga, huku akimulika unafiki na ukatili uliofichika katika mioyo ya wengi. Hata anakutana na huyu ambaye anaambiwa: Umemuua mwanao ... Lazima umle ... Ni riwaya ambayo itakutoa machozi!

Product Details

ISBN-13: 9789966565969
Publisher: East African Educational Publishers
Publication date: 05/07/1984
Sold by: Barnes & Noble
Format: eBook
Pages: 162
File size: 2 MB
Language: Swahili

About the Author

The late Ben Mtobwa was one of Tanzania’s most prolific and prominent novelists. He was one of the founders of the popular novel in Swahili and is best know for his series of adventure novel featuring the investigator Joram Kiango.
From the B&N Reads Blog

Customer Reviews